Thursday, August 2, 2012

Gender in Rural Africa: A Sample Survey


:MFANO WA MASWALI YA MTAZAMO WA KIJINSIA

Maelezo kwanza kwana imani . Uchunguzi huu ni wasiri na maelezo yako hayato chukuliwa bila idhini yako. Itachukua muda wa saa moja na nusu. Kama utajisikia vibaya niambie ni jue tunaweza tu kaacha.

  1. Je wewe una miaka mingapi? 
  2. Je wewe umeolewa? Au hujaoewa? Je umeachua?
  3. Je una watoto?
  4. Chanzo cha kipato chako ni nini?
  5. Ni muda gani unaotumia kwa siku kufanya kazi zako? 
  6.  Miaka mingapi umesoma shule?
  7. Unamiliki shamba?
  8. Ulikuwa na miaka mingapi ulipojifungua kwa mara ya kwanza? 
  9. Unajuaje haki zako wewe kama mwanamke wa kijijini? Je utapenda kujifunza zaidi?
    a.     
    Je ni nija zipi unazitumia kujilinda?
  10. Wewe ni mwanakikundi wa Abagamba Kamo? Je unafaidikaje na mradi hu?
    a.     
    Je ungependa kuwa mwana kikundi? 
  11. Je utakuwa tiari kucheza mpira katika timu ya wanawake? 
  12. Unafikiri kuna wanawake wa kutosha katika Bunge? Unafikiri unawakilishwa? 
  13. Ni mara ngapi unamuona daktari kwa matibabu yako?
  14. Ulishawahi kuhisi kutokuwa salama katika eneo lako au nyumbani kwako? 
  15. Je unatembea peke yako mu da wa usiku? 
  16. Ulishawahi kushambuliwa au kuvamiwa? 
  17. Ulishawahi kupigwa na mume wako? 
  18. Ulishawahi kubakwa? 
  19. Ulishawahi kutoa mimba?
    a.     
    Kama ndiyo kwa swali la 17, 18 au 19, ulitoa taarifa kwa mtu yeyote? (Polisi au mashirika ya kutetea haki?)
    b.     
    Mwitikio wao ulikuridhisha? Mambo gani kuhusu mwitikio wa polisi ambayo ungependa ya badilishwe? 
  20. Ulishawahi kukeketwa? 
  21. Una tatizo au ulishawahi kuugua magonjwa ya zinaa? 
  22. Je unatumia njia za uzazi mpango? 
  23. Unaweza kusoma?
Survey of Gender Issues 
First we will begin with reassuring you. This survey is confidential and anonymous – your details will never be used without your permission. It will take about half an hour. If at any point you feel uncomfortable, let me know and we will stop.


Part 1: Neutral questions
1.      What age are you?
2.      Are you married? Single? Divorced?
3.      Do you have children?
4.      What sources of income do you have?
5.      How many hours of work do you do every day?
6.      How many years of school did you undergo?
7.      Do you own land?
8.      How old were you when you first gave birth?
9.      Do you know your rights as a rural woman?
a.      Would you like to know more?
10.  Are you a member of Abagamba Kamo, the chicken raising group? If so, how do you benefit from membership?
a.      If not, would you like to be a member?
11.  Would you be interested in playing football locally (against women)?
12.  Are there enough women in the Tanzanian Parliament? Do you feel represented in the Bunge?
13.  Roughly how many times have you visited a doctor for treatment? Every time you were ill?
Part 2: Sensitive questions
14.  Do you often feel unsafe in your home region?
15.  Would you walk alone at night in this region
16.  Have you ever been attacked?
17.  Have you ever been beaten by your husband?
18.  Have you ever been raped?
a.      If yes to 3, 4 or 5, Did you report this to anyone? (Police / NGO)
b.      Did their reaction satisfy you? What things about their reaction would you change?
19.  Have you ever had an abortion?
20.  Were you circumcised?
21.  Do you have an STD?
22.  Can you read?