Sunday, September 23, 2012

Je kitendo cha wananchi wa Tanzania kuwazomea viongozi wao ni kukua kwa demokrasia?

                                                          Mheshimiwa Mizengo  Pinda
                                                         Waziri mkuu wa  Tanzania
Waziri mkuu  mheshimiwa  Mizengo  Pinda  alikutana na zamana ya kuzomewa na vijana katika jiji la Mwanza alikuwa na mkutano na katika kiwanja cha Sahara.Sasatunaelekea wapi jamani ndugu zangu wa tanzania kama hatuna adabu kwa viongozi wetu wa nchi.?

No comments:

Post a Comment