Monday, September 10, 2012

NYOTA WAZIRI MKUU WA KENYA YAZIDI KUN'GARA KWA VIJANA










                                               Waziri mkuu wa kenya,mheshimiwa Raila Odinga

        Kama    wangesema  wananchi wa Kenya      wapige Kura  mwaka  huu   waziri    mkuu  wao Raila  Omollo  Odinga  angeibuka  kidedea kwenye  UShindi wa   urais katika nchi hio.
Waziri  mkuu Raila   Odinga anayetoka  chama  ODM Chama  chake  kilipata   msusuko  midogo baada  ya kigogo Musalia Mudavadi kujiondoa kwenye chama cha ODM
Wananchi wengi  wa Kenya mojawapo rika la vijana ambao wanajulikana kama kizazi cha  dot.com wanamwona waziri mkuu wao kama chaguo lao  la  urais.Wanamwona   Raila  Odinga  kama mwanasiasa   uzoefu wa miaka  mingi katika  medani za siasa  za Kenya.
Pia  mwenye uwezo binafsi  na mwenye  ubora  sera kwa  wananchi  wa Kenya.
Wananchi wa Kenya  wanamwona Raila  Odinga  kama  Mwanasiasa  anayependa masuala  ya kujenga  utaifa na  hasiependa masuala  ya ukabila ,udini na rushwa  kama wanasiasa wenzake.

No comments:

Post a Comment