Habari zilizotufikia hapa mtandaoni
kutoka kwa mtu wetu aliyepo mahakamani ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini
Godbless lema ameshinda rufaa yake ya ubunge.
Rufaa hiyo ilikuwa inasikilizwa
mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam.Kwa maaana hiyo ni kwamba
lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa arusha mjini.
No comments:
Post a Comment