Saturday, December 29, 2012

CATHERINE MASUMBIGANA NDIYE UNIQUE MODEL 2012

Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.
                                 


  Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto  Gymkhana Hilal, Asia Idarous, Martine kadinda

No comments:

Post a Comment