Friday, December 14, 2012

KOFFI OLOMIDE KASHAWASILI DAR ES SALAAM KWA AJILI YA SHOW JUMAMOSI

  
    

Millard Ayo Koffi Olomide na Ben Kinyaiya wakimhoji msanii kofi Olomide uwanja 
Tayari kwa onesho lake litakalofanyika siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar na jumapili jijini Mwanza ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba,onesho hilo ambalo limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Afrika Masharikia (EABL) kupitia kinywaji chake cha Tusker kiingilio chake kimepangwa kuwa ni shilingi 10,000/= kwa kichwa kama tiketi ikinunuliwa mapema na shilingi 15,000/= getini


No comments:

Post a Comment