Mheshimiwa Mizengo Pinda
Waziri mkuu wa Tanzania
Waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda alikutana na zamana ya kuzomewa na vijana katika jiji la Mwanza alikuwa na mkutano na katika kiwanja cha Sahara.Sasatunaelekea wapi jamani ndugu zangu wa tanzania kama hatuna adabu kwa viongozi wetu wa nchi.?
No comments:
Post a Comment