Waziri mkuu wa kenya,mheshimiwa Raila Odinga
Kama wangesema wananchi wa Kenya wapige Kura mwaka huu waziri mkuu wao Raila Omollo Odinga angeibuka kidedea kwenye UShindi wa urais katika nchi hio.
Waziri mkuu Raila Odinga anayetoka chama
ODM Chama chake kilipata
msusuko midogo baada ya kigogo Musalia Mudavadi kujiondoa kwenye
chama cha ODM
Wananchi wengi wa
Kenya mojawapo rika la vijana ambao wanajulikana kama kizazi cha dot.com wanamwona waziri mkuu wao kama chaguo
lao la
urais.Wanamwona Raila Odinga
kama mwanasiasa uzoefu wa
miaka mingi katika medani za siasa za Kenya.
Pia mwenye uwezo
binafsi na mwenye ubora sera kwa
wananchi wa Kenya.
Wananchi wa Kenya
wanamwona Raila Odinga kama
Mwanasiasa anayependa
masuala ya kujenga utaifa na
hasiependa masuala ya ukabila
,udini na rushwa kama wanasiasa wenzake.
No comments:
Post a Comment